iqna

IQNA

Ibrahim Zakzaky
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe, Malama Zeenah Ibrahim, wanaonekana kuwa chini ya aina fulani ya kizuizi cha nyumbani.
Habari ID: 3474234    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imesema kiongozi wa harakati hiyo aliye gerezani, Sheikh Ibrahim Zakzaky , daima amekuwa akipigania Nigeria iliyoungana kama taifa moja.
Habari ID: 3474070    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/04

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amefanya mazungumzo ya simu na Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky aliyepelekwa India kwa ajili ya matibabu.
Habari ID: 3472085    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/15